sw_tn/pro/22/09.md

16 lines
407 B
Markdown

# mwenye jicho la ukarimu atabarikiwa
"Mungu atambariki mwenye jicho la ukarimu"
# mwenye jicho la ukarimu
"mtu mkarimu" au "mtu ambaye yupo tayari kutoa vitu kwa ajili ya watu wengine"
# mkate
Mkate ulikuwa chakula kikuu kwa watu wengi nyakati za Biblia, mara nyingi ulitumika kuwakilisha chakila kwa ujumla.
# mabishano na matukano vitaondoka
"watu hawatabishana tena au kusema vitu vya kuumizana"