# mwenye jicho la ukarimu atabarikiwa "Mungu atambariki mwenye jicho la ukarimu" # mwenye jicho la ukarimu "mtu mkarimu" au "mtu ambaye yupo tayari kutoa vitu kwa ajili ya watu wengine" # mkate Mkate ulikuwa chakula kikuu kwa watu wengi nyakati za Biblia, mara nyingi ulitumika kuwakilisha chakila kwa ujumla. # mabishano na matukano vitaondoka "watu hawatabishana tena au kusema vitu vya kuumizana"