sw_tn/pro/20/27.md

20 lines
577 B
Markdown

# roho ya mtu ni taa ya Yahwe, ikichunguza sehemu zake zote za ndani
"Yahwe anetupatia roho ya kujitambua kwa undani, kama taa inavyokufanya uone katika giza"
# agano la uaminifu na dhamana humlinda mfalme
"mfalme hujilinda yeye mwenyewe kwa agano lake la uaminifu na mdhamana"
# humlinda mfalme
humweka salama mfalme kutoka katika madhara
# kiti chake cha enzi huthibitishwa kwa upendo
kiti chake cha enzi huthibitishwa kwa upendo wake
# kiti chake cha enzi huthibitishwa kwa upendo
"mfalme huhakikisha kuwa atatawala kwa muda mrefu kwa kuonyesha upendo kwa wengine"