# roho ya mtu ni taa ya Yahwe, ikichunguza sehemu zake zote za ndani "Yahwe anetupatia roho ya kujitambua kwa undani, kama taa inavyokufanya uone katika giza" # agano la uaminifu na dhamana humlinda mfalme "mfalme hujilinda yeye mwenyewe kwa agano lake la uaminifu na mdhamana" # humlinda mfalme humweka salama mfalme kutoka katika madhara # kiti chake cha enzi huthibitishwa kwa upendo kiti chake cha enzi huthibitishwa kwa upendo wake # kiti chake cha enzi huthibitishwa kwa upendo "mfalme huhakikisha kuwa atatawala kwa muda mrefu kwa kuonyesha upendo kwa wengine"