sw_tn/pro/20/19.md

28 lines
456 B
Markdown

# mbeya
maana yake mtu ambaye husengenya sana.
# usishirikiane pamoja na
" hupaswi kuwa na urafiki na"
# kama mtu atamlaani
"Maana yake kama mtu ataonyesha shaukua ya mambo mabaya yatokee kwa mtu mwingine"
# taa yake itazimwa katikati ya giza
"maisha yake tatakoma ghafla kama mwanga ambao umepulizwa katika giza" au "atakufa ghafla"
# taa yake itazimwa
"taa yake itazimika"
# taa yake
" mwanga wa taa yake"
# zimwa
kusababisha mwanga uondoke