# mbeya maana yake mtu ambaye husengenya sana. # usishirikiane pamoja na " hupaswi kuwa na urafiki na" # kama mtu atamlaani "Maana yake kama mtu ataonyesha shaukua ya mambo mabaya yatokee kwa mtu mwingine" # taa yake itazimwa katikati ya giza "maisha yake tatakoma ghafla kama mwanga ambao umepulizwa katika giza" au "atakufa ghafla" # taa yake itazimwa "taa yake itazimika" # taa yake " mwanga wa taa yake" # zimwa kusababisha mwanga uondoke