sw_tn/pro/20/09.md

16 lines
341 B
Markdown

# nani anaweza kusema, " moyo wangu nimeuweka safi; nipo huru kutokana na dhambi zangu"?
"hakuna mtu anaweza kusema kwamba moyo wake ni safi na yupo huru kutoka dhambini"
# moyo wangu
"mimi mwenyewe"
# safi
mtu ambaye Mungu humtafakari kuwa anakubalika kiroho.
# nipo huru kutokana na dhambi zangu
"sina dhambi" au "sijatenda dhambi"