# nani anaweza kusema, " moyo wangu nimeuweka safi; nipo huru kutokana na dhambi zangu"? "hakuna mtu anaweza kusema kwamba moyo wake ni safi na yupo huru kutoka dhambini" # moyo wangu "mimi mwenyewe" # safi mtu ambaye Mungu humtafakari kuwa anakubalika kiroho. # nipo huru kutokana na dhambi zangu "sina dhambi" au "sijatenda dhambi"