sw_tn/pro/14/03.md

28 lines
556 B
Markdown

# kinywa cha ... midomo ya
Kinywa na midomo vyote vinahusiana na kile ambacho mtu hunena
# kipukizi la kiburi chake
chipukizi ni kitu amabacho huota kutoka kwenye kitu kingine. " ambacho huzalishwa na kiburi chake"
# busara
"watu wenye busara"
# ataihifadhi
"atawalinda kutoka ktatika madhara" au " atawatunza salama"
# hori la kulia
hori ni kontana ambapo huwekwa chakula kwa ajili ya wanyama
# mazao mengi
"mavuno mazuri"
# kwa nguvu ya maksai
"nguvu" inawakilisha kazi imara anayoweza kufanya maksai "kwa sababu ya kazi anayofanya maksai"