# kinywa cha ... midomo ya Kinywa na midomo vyote vinahusiana na kile ambacho mtu hunena # kipukizi la kiburi chake chipukizi ni kitu amabacho huota kutoka kwenye kitu kingine. " ambacho huzalishwa na kiburi chake" # busara "watu wenye busara" # ataihifadhi "atawalinda kutoka ktatika madhara" au " atawatunza salama" # hori la kulia hori ni kontana ambapo huwekwa chakula kwa ajili ya wanyama # mazao mengi "mavuno mazuri" # kwa nguvu ya maksai "nguvu" inawakilisha kazi imara anayoweza kufanya maksai "kwa sababu ya kazi anayofanya maksai"