sw_tn/pro/08/19.md

20 lines
339 B
Markdown

# Matunda yangu
ambacho hekima huzalisha au husababisha
# faida yangu
manufaa au faida ambayo hekima husababisha
# Natembea katika njia ya haki
"Ninaishi kwa haki" au " Ninatenda ambacho ni haki"
# katikati ya njia za uadilifu
"Ninafanya mambo makalifu" au "Ninatenda ambacho ni haki"
# hazina
ghala kwa ajili ya vitu vya thamani