# Matunda yangu ambacho hekima huzalisha au husababisha # faida yangu manufaa au faida ambayo hekima husababisha # Natembea katika njia ya haki "Ninaishi kwa haki" au " Ninatenda ambacho ni haki" # katikati ya njia za uadilifu "Ninafanya mambo makalifu" au "Ninatenda ambacho ni haki" # hazina ghala kwa ajili ya vitu vya thamani