sw_tn/pro/06/20.md

12 lines
394 B
Markdown

# tii amri ya baba yako... usiyaache mafundisho ya mama yako
Maana yake baba na mama wote wanahusika katika kufundiha na mchakato wa kufunza
# usiayache mafundisho ya mama yako
"tii mafundisho ya mama yako"
# yafunge katika moyo wako; yakaze kwenye shingo yako
Hizi ni amri na maelekezo kama zimeandikwa unaweza kuziweka katika mwili wako au kuvaa mwilini mwako ili kujikumbusha mwenyewe.