# tii amri ya baba yako... usiyaache mafundisho ya mama yako Maana yake baba na mama wote wanahusika katika kufundiha na mchakato wa kufunza # usiayache mafundisho ya mama yako "tii mafundisho ya mama yako" # yafunge katika moyo wako; yakaze kwenye shingo yako Hizi ni amri na maelekezo kama zimeandikwa unaweza kuziweka katika mwili wako au kuvaa mwilini mwako ili kujikumbusha mwenyewe.