sw_tn/pro/02/01.md

32 lines
765 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Baba anamfundisha mtoto wake kwa kutumia shairi.
# kama utapokea maneno yangu
Hapa "maneno" yanawakilisha mafundisho " kama utasikiliza ambacho ninakufundisha"
# kama utapokea
Huu ni mfululizo wa kauli zenye mashariti zinazofika tamati katika 2:5
# zihifadhi amri zangu ndani yako
" zihesabu amri zangu kuwa za thamani kama hazina"
# masikio yako yawe na usikivu kwa ajili ya hekima na kuelekeza moyo wako kwenye ufahamu
"kama masikio yako yatakuwa masikivu kwa ajili ya hekima na kuelekeza moy wako kwenye ufahamu"
# masikio yako yawe na usikivu
"Jilazimishe kusikiliza kwa umakini wewe mwenyewe"
# Hekima
"sikiliza mabo ya busara ambayo ninakufundisha"
# elekeza moyo wako kwenye ufahamu
"jitahidi sana kufahamu maana ya busara"