sw_tn/num/31/21.md

423 B

Taarifa kwa ujumla

Eliezeri anawafundisha maaskari taratibu za kujitakasa mbele ya BWANA baada ya kwenda vitani

Dhahabu, fedha, shaba,vyuma, bati, risasi

Hivi ni vyuma ambavyo vilikuwa vinatumika wakati ule

haviwezi kupita kwenye moto

"ambavyo haviwezi kuungua"

mtakiweka katika moto

"viwekeni motoni"

maji ya takaso

Tazama 19:17

ndipo mtakapokuwa safi

Huu ndio utaraibu wa kuwa safi mbele ya BWANA