sw_tn/num/31/21.md

24 lines
423 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Eliezeri anawafundisha maaskari taratibu za kujitakasa mbele ya BWANA baada ya kwenda vitani
# Dhahabu, fedha, shaba,vyuma, bati, risasi
Hivi ni vyuma ambavyo vilikuwa vinatumika wakati ule
# haviwezi kupita kwenye moto
"ambavyo haviwezi kuungua"
# mtakiweka katika moto
"viwekeni motoni"
# maji ya takaso
Tazama 19:17
# ndipo mtakapokuwa safi
Huu ndio utaraibu wa kuwa safi mbele ya BWANA