# Taarifa kwa ujumla Eliezeri anawafundisha maaskari taratibu za kujitakasa mbele ya BWANA baada ya kwenda vitani # Dhahabu, fedha, shaba,vyuma, bati, risasi Hivi ni vyuma ambavyo vilikuwa vinatumika wakati ule # haviwezi kupita kwenye moto "ambavyo haviwezi kuungua" # mtakiweka katika moto "viwekeni motoni" # maji ya takaso Tazama 19:17 # ndipo mtakapokuwa safi Huu ndio utaraibu wa kuwa safi mbele ya BWANA