sw_tn/num/30/01.md

20 lines
473 B
Markdown

# Mtu yeyote atakayefanya nadhiri, au kuapa kwa kiapo
Virai hivi viinamaanisha kitu kilekile. Vimetumika kuonesha unuhimu wa kiapo.
# ili kufunga nafsi yake
"kujitoa ili kutimiza kiapo" au "kuahidi kufanya kitu fulani"
# asivunje neno lake. HeAtafanya sawa na ahadi yake imtokayo kinywani mwake
"Lazima atimize ahadi yake"
# asivunje neno lake
Lazima atimize ahadi zake"
# sawa na ahadi yake imtokayo kinywani mwake
"atafanya kila kitu anachosema kuwa atakifanya"