sw_tn/num/30/01.md

473 B

Mtu yeyote atakayefanya nadhiri, au kuapa kwa kiapo

Virai hivi viinamaanisha kitu kilekile. Vimetumika kuonesha unuhimu wa kiapo.

ili kufunga nafsi yake

"kujitoa ili kutimiza kiapo" au "kuahidi kufanya kitu fulani"

asivunje neno lake. HeAtafanya sawa na ahadi yake imtokayo kinywani mwake

"Lazima atimize ahadi yake"

asivunje neno lake

Lazima atimize ahadi zake"

sawa na ahadi yake imtokayo kinywani mwake

"atafanya kila kitu anachosema kuwa atakifanya"