# Mtu yeyote atakayefanya nadhiri, au kuapa kwa kiapo Virai hivi viinamaanisha kitu kilekile. Vimetumika kuonesha unuhimu wa kiapo. # ili kufunga nafsi yake "kujitoa ili kutimiza kiapo" au "kuahidi kufanya kitu fulani" # asivunje neno lake. HeAtafanya sawa na ahadi yake imtokayo kinywani mwake "Lazima atimize ahadi yake" # asivunje neno lake Lazima atimize ahadi zake" # sawa na ahadi yake imtokayo kinywani mwake "atafanya kila kitu anachosema kuwa atakifanya"