sw_tn/num/27/15.md

16 lines
385 B
Markdown

# Mungu wa wote wenye mwili
"Mungu awapaye wanadamu pumzi"
# mtu awe juu ya watu
"mtu wa kuwaongoza watu"
# mtu ambaye atatoka na kuingia kuja kwao na kuwatoa kisha kuwarudisha
mtu ambaye atawaongoza watu wote na kuongoza jeshi katika vita
# ili kwamba watu wako wasije kuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji
Hii inamaanisha kuwa watu wasipokuwa na kiongozi watazungukazunguka