# Mungu wa wote wenye mwili "Mungu awapaye wanadamu pumzi" # mtu awe juu ya watu "mtu wa kuwaongoza watu" # mtu ambaye atatoka na kuingia kuja kwao na kuwatoa kisha kuwarudisha mtu ambaye atawaongoza watu wote na kuongoza jeshi katika vita # ili kwamba watu wako wasije kuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji Hii inamaanisha kuwa watu wasipokuwa na kiongozi watazungukazunguka