sw_tn/num/27/15.md

385 B

Mungu wa wote wenye mwili

"Mungu awapaye wanadamu pumzi"

mtu awe juu ya watu

"mtu wa kuwaongoza watu"

mtu ambaye atatoka na kuingia kuja kwao na kuwatoa kisha kuwarudisha

mtu ambaye atawaongoza watu wote na kuongoza jeshi katika vita

ili kwamba watu wako wasije kuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji

Hii inamaanisha kuwa watu wasipokuwa na kiongozi watazungukazunguka