sw_tn/num/22/18.md

8 lines
298 B
Markdown

# Hata kama Balaki atanipa ikulu yake ikiwa imejaa fedha
Balaamu anasisitiza kuwa hakuna kitakachomfanya avunje utii wake kwa BWANA
# sitaweza kufanya dhidi ya maneno ya BWANA... na kufanya pungufuau zaidi ya kile anachoniambia.
Inamaanishsa kuwa Balaamu hataacha kumtii BWANA kwa namna yeyote.