# Hata kama Balaki atanipa ikulu yake ikiwa imejaa fedha Balaamu anasisitiza kuwa hakuna kitakachomfanya avunje utii wake kwa BWANA # sitaweza kufanya dhidi ya maneno ya BWANA... na kufanya pungufuau zaidi ya kile anachoniambia. Inamaanishsa kuwa Balaamu hataacha kumtii BWANA kwa namna yeyote.