sw_tn/num/22/18.md

298 B

Hata kama Balaki atanipa ikulu yake ikiwa imejaa fedha

Balaamu anasisitiza kuwa hakuna kitakachomfanya avunje utii wake kwa BWANA

sitaweza kufanya dhidi ya maneno ya BWANA... na kufanya pungufuau zaidi ya kile anachoniambia.

Inamaanishsa kuwa Balaamu hataacha kumtii BWANA kwa namna yeyote.