sw_tn/num/21/21.md

24 lines
491 B
Markdown

# Kisha Israeli
"Israeli" inamaanisha watu wa Israeli, hasa viongozi wao. "kisha Waisraeli"
# Hatutapita kwenye shamba lolote au shamba la mizabibu
"Hatutaingia kwenye shamba lenu lolote au shamba la mizabibu"
# njia kuu ya mfalme
Tazama 20:17
# kupita kwenye mpaka wao
"kuvuka mpaka wao." Neno "wao" linamaanisha Waamori
# Jahazi
Hili ni jina la mahali
# alipigana dhidi ya Israeli
kiwakilishi "a" kina mwakilisha jeshi la Mfalme Sihoni, "jeshi lake lilipigana dhidi ya Israeli"