# Kisha Israeli "Israeli" inamaanisha watu wa Israeli, hasa viongozi wao. "kisha Waisraeli" # Hatutapita kwenye shamba lolote au shamba la mizabibu "Hatutaingia kwenye shamba lenu lolote au shamba la mizabibu" # njia kuu ya mfalme Tazama 20:17 # kupita kwenye mpaka wao "kuvuka mpaka wao." Neno "wao" linamaanisha Waamori # Jahazi Hili ni jina la mahali # alipigana dhidi ya Israeli kiwakilishi "a" kina mwakilisha jeshi la Mfalme Sihoni, "jeshi lake lilipigana dhidi ya Israeli"