sw_tn/num/21/21.md

491 B

Kisha Israeli

"Israeli" inamaanisha watu wa Israeli, hasa viongozi wao. "kisha Waisraeli"

Hatutapita kwenye shamba lolote au shamba la mizabibu

"Hatutaingia kwenye shamba lenu lolote au shamba la mizabibu"

njia kuu ya mfalme

Tazama 20:17

kupita kwenye mpaka wao

"kuvuka mpaka wao." Neno "wao" linamaanisha Waamori

Jahazi

Hili ni jina la mahali

alipigana dhidi ya Israeli

kiwakilishi "a" kina mwakilisha jeshi la Mfalme Sihoni, "jeshi lake lilipigana dhidi ya Israeli"