|
# kama vile mlivyosema katika masikio yangu
|
|
|
|
"kama nilivyowasikia mkisema"
|
|
|
|
# Maiti zenu zitaanguka
|
|
|
|
"mtakufa"
|
|
|
|
# ninyi mliohesabiwa kwenye ile sensa
|
|
|
|
"Ninyi ambao Musa aliwahesabu kwenye ile sensa"
|
|
|
|
# kuanzia umri wa mika ishirini na kuendelea
|
|
|
|
"umri wa miaka ishirini na zaidi"
|