# kama vile mlivyosema katika masikio yangu "kama nilivyowasikia mkisema" # Maiti zenu zitaanguka "mtakufa" # ninyi mliohesabiwa kwenye ile sensa "Ninyi ambao Musa aliwahesabu kwenye ile sensa" # kuanzia umri wa mika ishirini na kuendelea "umri wa miaka ishirini na zaidi"