sw_tn/num/14/28.md

280 B

kama vile mlivyosema katika masikio yangu

"kama nilivyowasikia mkisema"

Maiti zenu zitaanguka

"mtakufa"

ninyi mliohesabiwa kwenye ile sensa

"Ninyi ambao Musa aliwahesabu kwenye ile sensa"

kuanzia umri wa mika ishirini na kuendelea

"umri wa miaka ishirini na zaidi"