sw_tn/num/10/35.md

508 B

Kila hilo sanduku liliposafiri

"Kila wakati wale watu waliokuwa wamebeba sanduku walipoondoka"

Inuka BWANA

Kirai cha "inuka" ni ombi la BWANA kumtaka atende. Kwa hiyo Musa anamwomba BWANA awasambaze maadui wake.

Uwafanye wale wanaokuchukia kukukimbia

"uwafanye wale wanokuchukia kukimbia mbele ya sanduku lako na mbele ya watu wako"

na kila lile sanduku liliposimama

"kila watu wanobeba lile sanduku waliposimama"

hawa Waisraeli makumi elfu

Hii inamaanisha watu." hawa walio makumi elfu"