sw_tn/num/10/35.md

20 lines
508 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kila hilo sanduku liliposafiri
"Kila wakati wale watu waliokuwa wamebeba sanduku walipoondoka"
# Inuka BWANA
Kirai cha "inuka" ni ombi la BWANA kumtaka atende. Kwa hiyo Musa anamwomba BWANA awasambaze maadui wake.
# Uwafanye wale wanaokuchukia kukukimbia
"uwafanye wale wanokuchukia kukimbia mbele ya sanduku lako na mbele ya watu wako"
# na kila lile sanduku liliposimama
"kila watu wanobeba lile sanduku waliposimama"
# hawa Waisraeli makumi elfu
Hii inamaanisha watu." hawa walio makumi elfu"