# Kila hilo sanduku liliposafiri "Kila wakati wale watu waliokuwa wamebeba sanduku walipoondoka" # Inuka BWANA Kirai cha "inuka" ni ombi la BWANA kumtaka atende. Kwa hiyo Musa anamwomba BWANA awasambaze maadui wake. # Uwafanye wale wanaokuchukia kukukimbia "uwafanye wale wanokuchukia kukimbia mbele ya sanduku lako na mbele ya watu wako" # na kila lile sanduku liliposimama "kila watu wanobeba lile sanduku waliposimama" # hawa Waisraeli makumi elfu Hii inamaanisha watu." hawa walio makumi elfu"