sw_tn/num/06/19.md

24 lines
366 B
Markdown

# bega la kondoo mume lililotokoswa
"lile bega la kondoo ambalo amelitakasa"
# ishara ya kijidhiri
ishara ya kuwa wakfu" au "ishara inayoonyesha kuwa amaejiweka wakfu kwa BWANA"
# Kisha kuhani atavitikisa
"kisha kuhani atavirudisha nyuma na kuvititsa"
# pamoja na
"pia akiwa na"
# cha kutikiswa
"ambacho kuhani alikitikisa"
# lilitolewa
"ambalo alilitoa"