sw_tn/num/06/19.md

366 B

bega la kondoo mume lililotokoswa

"lile bega la kondoo ambalo amelitakasa"

ishara ya kijidhiri

ishara ya kuwa wakfu" au "ishara inayoonyesha kuwa amaejiweka wakfu kwa BWANA"

Kisha kuhani atavitikisa

"kisha kuhani atavirudisha nyuma na kuvititsa"

pamoja na

"pia akiwa na"

cha kutikiswa

"ambacho kuhani alikitikisa"

lilitolewa

"ambalo alilitoa"