# bega la kondoo mume lililotokoswa "lile bega la kondoo ambalo amelitakasa" # ishara ya kijidhiri ishara ya kuwa wakfu" au "ishara inayoonyesha kuwa amaejiweka wakfu kwa BWANA" # Kisha kuhani atavitikisa "kisha kuhani atavirudisha nyuma na kuvititsa" # pamoja na "pia akiwa na" # cha kutikiswa "ambacho kuhani alikitikisa" # lilitolewa "ambalo alilitoa"