sw_tn/num/06/13.md

703 B

muda wa kujidhiri kwake

"kujidhiri" kunamaanisha "kuwa wakfu". "kuwekwa kwake wakfu"

Ataletwa

"ataletwa na mtu"

Ataleta sadaka yake kwa BWANA

"ataleta sadaka yake kwa BWANA kupitia kwa kuhani ambaye ndiye ataitoa hiyo sadaka"

mikate iliyotengenezwa bila amira

"mikate iliyotengenezwa bila chachu"

unga mwembamba uliochanganywa na mafuta

"unga mwembamba aliouchanganya na mafuta"

mikate ya kaki isiyo na amira iliyopakwa mafuta,

mikate ya kaki isiyo na chachu ambayo aliipaka mafuta

mikate ya kai isiyo na amira

"vipande vidogovidogo vya mikate"

pamoja na sadaka za unga na sadaka za vinywaji

"pamoja na na sadaka za unga ambazo BWANA alitaka ziambatane na sadaka zingine.