sw_tn/num/06/13.md

32 lines
703 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# muda wa kujidhiri kwake
"kujidhiri" kunamaanisha "kuwa wakfu". "kuwekwa kwake wakfu"
# Ataletwa
"ataletwa na mtu"
# Ataleta sadaka yake kwa BWANA
"ataleta sadaka yake kwa BWANA kupitia kwa kuhani ambaye ndiye ataitoa hiyo sadaka"
# mikate iliyotengenezwa bila amira
"mikate iliyotengenezwa bila chachu"
# unga mwembamba uliochanganywa na mafuta
"unga mwembamba aliouchanganya na mafuta"
# mikate ya kaki isiyo na amira iliyopakwa mafuta,
mikate ya kaki isiyo na chachu ambayo aliipaka mafuta
# mikate ya kai isiyo na amira
"vipande vidogovidogo vya mikate"
# pamoja na sadaka za unga na sadaka za vinywaji
"pamoja na na sadaka za unga ambazo BWANA alitaka ziambatane na sadaka zingine.