# muda wa kujidhiri kwake "kujidhiri" kunamaanisha "kuwa wakfu". "kuwekwa kwake wakfu" # Ataletwa "ataletwa na mtu" # Ataleta sadaka yake kwa BWANA "ataleta sadaka yake kwa BWANA kupitia kwa kuhani ambaye ndiye ataitoa hiyo sadaka" # mikate iliyotengenezwa bila amira "mikate iliyotengenezwa bila chachu" # unga mwembamba uliochanganywa na mafuta "unga mwembamba aliouchanganya na mafuta" # mikate ya kaki isiyo na amira iliyopakwa mafuta, mikate ya kaki isiyo na chachu ambayo aliipaka mafuta # mikate ya kai isiyo na amira "vipande vidogovidogo vya mikate" # pamoja na sadaka za unga na sadaka za vinywaji "pamoja na na sadaka za unga ambazo BWANA alitaka ziambatane na sadaka zingine.