sw_tn/num/05/15.md

368 B

sehemu ya kumi

hii ni sehemu moja kati ya kumi

sehemu ya kumi ya efa

sehemu ya kumi ya efa ni karibu sawa na lita 2.

ni sadaka ya unga ya wivu

"ni sadaka ya unga inayotolewa kwa ajili ya wivu"

dalili ya dhambi

"Dalili" ni kitu kinachoonyesha uhakika wa jambo fulani. kwa ahali hiyo alitoa sadaka inayoonyesha kama mke wake kweli alifanya uzinzi au la.