# sehemu ya kumi hii ni sehemu moja kati ya kumi # sehemu ya kumi ya efa sehemu ya kumi ya efa ni karibu sawa na lita 2. # ni sadaka ya unga ya wivu "ni sadaka ya unga inayotolewa kwa ajili ya wivu" # dalili ya dhambi "Dalili" ni kitu kinachoonyesha uhakika wa jambo fulani. kwa ahali hiyo alitoa sadaka inayoonyesha kama mke wake kweli alifanya uzinzi au la.