sw_tn/num/05/15.md

16 lines
368 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sehemu ya kumi
hii ni sehemu moja kati ya kumi
# sehemu ya kumi ya efa
sehemu ya kumi ya efa ni karibu sawa na lita 2.
# ni sadaka ya unga ya wivu
"ni sadaka ya unga inayotolewa kwa ajili ya wivu"
# dalili ya dhambi
"Dalili" ni kitu kinachoonyesha uhakika wa jambo fulani. kwa ahali hiyo alitoa sadaka inayoonyesha kama mke wake kweli alifanya uzinzi au la.