sw_tn/num/05/01.md

20 lines
554 B
Markdown

# wenye magonjwa ya ngozi
Hii inamaanisha ukoma, huu ni ugonjwa unaoathiri ngozi na unasambaa kwa wengine kwa urahisi.
# vidonda vinavyotoa harufu
Hii inamaanisha vidonda vya wazi vinavyotoa usaha.
# ambaye amenajisika kwa kugusa maiti
Mtu alipogusa maiti alionekana kuwa najisi. Mtu ambaye alikuwa hakubariki kwa matumizi ya kazi ya Mungu alionekana ki mwili kuwa najisi.
# umtoe kambini
kiwakilishi cha "u" ni cha wingi na kinamanisha watu wa Israeli.
# Watu wa Israeli walifanya hivyo
Watu wa Israeli waliwatoa kambini watu waliokuwa najisi.