sw_tn/num/05/01.md

554 B

wenye magonjwa ya ngozi

Hii inamaanisha ukoma, huu ni ugonjwa unaoathiri ngozi na unasambaa kwa wengine kwa urahisi.

vidonda vinavyotoa harufu

Hii inamaanisha vidonda vya wazi vinavyotoa usaha.

ambaye amenajisika kwa kugusa maiti

Mtu alipogusa maiti alionekana kuwa najisi. Mtu ambaye alikuwa hakubariki kwa matumizi ya kazi ya Mungu alionekana ki mwili kuwa najisi.

umtoe kambini

kiwakilishi cha "u" ni cha wingi na kinamanisha watu wa Israeli.

Watu wa Israeli walifanya hivyo

Watu wa Israeli waliwatoa kambini watu waliokuwa najisi.