# wenye magonjwa ya ngozi Hii inamaanisha ukoma, huu ni ugonjwa unaoathiri ngozi na unasambaa kwa wengine kwa urahisi. # vidonda vinavyotoa harufu Hii inamaanisha vidonda vya wazi vinavyotoa usaha. # ambaye amenajisika kwa kugusa maiti Mtu alipogusa maiti alionekana kuwa najisi. Mtu ambaye alikuwa hakubariki kwa matumizi ya kazi ya Mungu alionekana ki mwili kuwa najisi. # umtoe kambini kiwakilishi cha "u" ni cha wingi na kinamanisha watu wa Israeli. # Watu wa Israeli walifanya hivyo Watu wa Israeli waliwatoa kambini watu waliokuwa najisi.