sw_tn/num/03/36.md

28 lines
610 B
Markdown

# Mbao za hema
Hizi ni mbao zinazotenegenezwa kwa kuunganisha vipande viwili vya mbao.
# mataruma
Hii ni mihimili inayolifanya jengo kuwa na imara.
# nguzo
Nguzo ni ubao imara unaosimamishwa wima ili kushikilia kitu.
# makalishio
hivi ni vitu ambavyo viliwekwa mahali ambapo nguzo zilisimikwa.
# vifaa vya ujenzi
Hii inamaanishsa kila kitu ambacho kilitumika kwa kuunganishia mataruma, nguzo na makalishio
# pamoja na vigingi vyake
kiwakilishi "vyake" inamaanisha mihimili na nguzo.
# vitundu, vigingi na kamba zake
Hivi ni vifaa ambavyo vilitumika ili kuunganisha mbao zilizolazwa kwenye nguzo.