sw_tn/num/03/36.md

610 B

Mbao za hema

Hizi ni mbao zinazotenegenezwa kwa kuunganisha vipande viwili vya mbao.

mataruma

Hii ni mihimili inayolifanya jengo kuwa na imara.

nguzo

Nguzo ni ubao imara unaosimamishwa wima ili kushikilia kitu.

makalishio

hivi ni vitu ambavyo viliwekwa mahali ambapo nguzo zilisimikwa.

vifaa vya ujenzi

Hii inamaanishsa kila kitu ambacho kilitumika kwa kuunganishia mataruma, nguzo na makalishio

pamoja na vigingi vyake

kiwakilishi "vyake" inamaanisha mihimili na nguzo.

vitundu, vigingi na kamba zake

Hivi ni vifaa ambavyo vilitumika ili kuunganisha mbao zilizolazwa kwenye nguzo.